#MSLAC#Katibanasheria#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango @biteko @katibanasheria_ @profkabudipjam @victoria.mwanziva @tanganyikalawsociety @BMWABUKU
Soma zaidi »Recent Posts
RAI YATOLEWA WAWEKEZAJI KUFANYA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA NA KAGUZI ZA MAZINGIRA KILA MWAKA
FANYA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA, DHIBITI ATHARI ZA MIRADI KWA JAMII NA MAZINGIRA.
Live January 08
NEMC YATOLEA UFAFANUZI UMUHIMU WA KUTENGANISHA NA KUREJELEZA TAKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar
NEMC YAONYA WANAOTUPA TAKA KIHOLELA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI NA WADAU KUREJELEZA TAKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Januari, 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Taasisi ya Sayansi za Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ina Mchango Mkubwa katika Mipango na Sera za kuendeleza Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za Bahari
Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipoweka jiwe la Msingi Jengo la Taaluma na Utawala la taasisi hiyo Buyu ,Wilaya ya Magharibi B ,Mkoa wa Mjini Magahribi. Aidha Rais Mwinyi ameahidi Serikali kuendelea Kushirikiana na Taasisi hiyo wakati wote kwa lengo la kuhakikisha Rasilimali za Bahari ziliyopo zinatumika ipasavyo ili kutoa Mchango …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




