Recent Posts

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo, Machi 21, 2025 amewasili Mkoani Njombe ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha Siku ya Misitu Duniani inayofanyika kitaifa Mkoani Njombe

Akiwa Mkoani humo, Mheshimiwa Waziri Mkuu ametembelea kiwanda cha uchakataji mazao ya misitu cha TANWAT (Tanganyika Wattle Company Limited) kilichopo Njombe mjini ambapo ameshuhudia shughuli mbalimbali zinazofanywa na kiwanda hicho. Akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda hicho Waziri Mkuu amewasihi wafanyakazi wa kiwanda hicho kufanya kazi kwa weledi ili kufanikisha malengo …

Soma zaidi »

KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE

#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba

Soma zaidi »

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ameshiriki katika Mkutano wa UK-Africa Health Summit 2025 uliojadili ushirikiano katika kuboresha sekta ya afya nchini

Mkutano huo pia umejadili vipaumbele vya Sera ya Afya kama vile kushughulikia magonjwa yasiyoambukiza, magonjwa ya mlipuko, kuimarisha afya ya msingi na kujengea uwezo watumishi wa sekta ya afya kwenye ubingwa bobezi kwa kubadilishana uzoefu, namna bora ya kuendelea kuboresha huduma za lishe na uimarishaji wa mifumo ya afya. Katika …

Soma zaidi »

KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE

#SamiaLegalAid #TanzaniaYaHaki @samia_suluhu_hassan @katibanasheria_ @damasndumbaro_official @ester_msambazi #MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Soma zaidi »