Recent Posts

Rais Samia Atembelea Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara

Morogoro, 4 Agosti 2024 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro kwa kutembelea Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara. Ziara hii ni sehemu ya juhudi za Rais Samia kufuatilia na kutathmini maendeleo ya miradi ya nishati nchini. …

Soma zaidi »

Rais Samia Suluhu Ifakara

Katika hotuba yake, Rais Samia aliwashukuru wananchi wa Ifakara kwa mapokezi mazuri na kueleza kuwa serikali yake imejipanga kuendelea kuboresha huduma za msingi kama vile elimu, afya, na miundombinu. Aliwaeleza kuwa miradi mikubwa kama Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara na reli ya SGR ni sehemu ya mkakati wa serikali katika …

Soma zaidi »

Ziara Ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kilombero, Morogoro

Wananchi wa Ifakara wajitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Ifakara, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Ziara hii ilikuwa ni sehemu ya mikutano ya Rais Samia na wananchi, ambapo alifika kuzungumza na wananchi …

Soma zaidi »