Recent Posts

Tunawatakia Watanzania Wote Heri ya Mwaka Mpya 2025 Salamu za heri na mafanikio kwa Watanzania wote. Katika mwaka huu mpya, tunataka kila Mtanzania aendelee kufurahia maendeleo, amani, na mshikamano. Tukiwa na umoja, nguvu na nia ya kujenga taifa letu, tunaamini tutapata mafanikio makubwa zaidi katika sekta zote, ikiwa ni pamoja na elimu, afya, uchumi, na miundombinu

Mwaka 2025 ni fursa nyingine ya kuendelea kujenga taifa lenye neema, lenye kujivunia na lililo na ustawi kwa kila mmoja wetu. Heri ya mwaka mpya kwa Watanzania wote, kwa familia zenu na kwa jamii nzima ya Tanzania. #HeriYaMwakaMpya #MatokeoChanya+ #TanzaniaKwanza

Soma zaidi »

Nchi yetu imeenda kusimamia utekelezaji wa Falsafa ya R4, inayohimiza Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga nchi yetu

Vile vile, tunaendeleza uhuru wa habari unaoashiriwa na idadi kubwa ya vyombo vya habari, uhuru wa kujieleza, na uhuru wa kutoa maoni kupitia vyombo mbalimbali; na hata uhuru wa kukusanyika na kujumuika. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR

Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar katika kikao kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali …

Soma zaidi »

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kuhakikisha inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali ili kuwawezesha mabondia kunufaika na vipaji vyao.

Ametoa Wito huo jana (Alhamisi, Desemba 26, 2024) wakati wa tukio maalum la pambano la ngumi la ‘Knockout ya Mama’ linalofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. “Awali michezo hii ilikuwa ni ridhaa, lakini kwasasa tumeweka sheria ambazo zinataka mchezo huu uwe wa kulipwa, ambayo mchezaji …

Soma zaidi »

HERI YA SIKUKUU YA NOELI!

Tunawatakia Watanzania wote furaha, amani, na upendo katika kipindi hiki cha Noeli. Tuwe na muda wa kusherehekea pamoja na familia na marafiki, huku tukikumbuka maana halisi ya sikukuu hii—upendo, ukarimu, na mshikamano. Mungu aendelee kuibariki nchi yetu Tanzania na kutupa mwaka mpya uliojaa matumaini na mafanikio. Noeli Njema na Mwaka …

Soma zaidi »