Recent Posts

KIUMA Yageuza Taka za Plastiki kuwa Ajira na Tumaini Karagwe

VIJANA KAZINI, MAZINGIRA SALAMA: Na Mwandishi Wetu Katika kipindi ambacho changamoto za ajira na uchafuzi wa mazingira zimekuwa zikiongezeka, kikundi cha vijana cha KIUMA kutoka wilayani Karagwe kimeibuka kama mfano halisi wa ubunifu, uthubutu na matumaini mapya kwa vijana wa Tanzania. Kikundi hiki kilianzishwa mwaka 2023 na vijana waliodhamiria kuchukua hatua dhidi ya taka …

Soma zaidi »

Kutoka Bodaboda Hadi Uwekezaji: Vijana Wa Solwa Wathibitisha Mikopo Ya 10% Na Ndoto Zinawezekana!

Katika kipindi ambacho vijana wengi hukata tamaa kutokana na changamoto za ajira na mitaji, Kikundi cha Bodaboda Solwa (Vijana) kimeibuka kama mwanga wa matumaini na mfano halisi kuwa umoja, uaminifu na kujituma vinaweza kubadilisha maisha. Kikundi hiki kinapatikana Kijiji cha Solwa, Kata ya Solwa, Halmashauri ya Shinyanga Vijijini, na kilianzishwa mwaka 2018 kikiwa na wanachama 15 pekee. Leo …

Soma zaidi »

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameitaka Manispaa ya Morogoro kuona uwezekano wa kujenga sehemu maegesho ya magari pembezoni mwa Mradi wa Stendi ya Mabasi Madogo ya Kihonda inayojengwa kupitia mradi wa TACTIC, ili maegesho hayo yawe ni chanzo kipya cha mapato ya manispaa hiyo.

Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa uongozi wa Manispaa ya Morogoro, mara baada ya baada ya kumaliza ukaguzi wa ujenzi wa mradi wa Stendi ya Mabasi Madogo Kihonda, stendi ambayo inajengwa karibu na Stesheni ya SGR ya Jakaya Kikwete Morogoro. “Kuna watu wanatoka mbali wanakuja Stesheni ya Jakaya Kikwete ili …

Soma zaidi »

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Massauni amesema mpaka sasa jumla ya Miradi 82 ya Biashara ya Kaboni ipo kwenye rejesta na kati ya hiyo, Miradi 4 imeshafika kwenye hatua ya utekelezaji kamili ambapo utasaidia kuiwezesha nchi kupata mapato na kuimarisha ustawi wa wananchi.

Amesema hayo Dodoma Januari 19, 2025 wakati akiwasilisha taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira akieleza Biashara ya Kaboni inaendelea kutekelezwa katika Halmashauri mbalimbali zikiwemo Halimashauri za Wilaya za Tanganyika, Kiteto, Karagwe, Uvinza na …

Soma zaidi »