Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kizalendo wa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa vitendo vya kulinda mazingira. Akizungumza baada ya zoezi hilo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu akiwa ameambatana na mwenza wake Mama …
Soma zaidi »Recent Posts
NEMC YAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI, YAPANDA MITI KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Kutoka Bodaboda Hadi Uwekezaji: Vijana Wa Solwa Wathibitisha Mikopo Ya 10% Na Ndoto Zinawezekana!
Katika kipindi ambacho vijana wengi hukata tamaa kutokana na changamoto za ajira na mitaji, Kikundi cha Bodaboda Solwa (Vijana) kimeibuka kama mwanga wa matumaini na mfano halisi kuwa umoja, uaminifu na kujituma vinaweza kubadilisha maisha. Kikundi hiki kinapatikana Kijiji cha Solwa, Kata ya Solwa, Halmashauri ya Shinyanga Vijijini, na kilianzishwa mwaka 2018 kikiwa na wanachama 15 pekee. Leo …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameitaka Manispaa ya Morogoro kuona uwezekano wa kujenga sehemu maegesho ya magari pembezoni mwa Mradi wa Stendi ya Mabasi Madogo ya Kihonda inayojengwa kupitia mradi wa TACTIC, ili maegesho hayo yawe ni chanzo kipya cha mapato ya manispaa hiyo.
Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa uongozi wa Manispaa ya Morogoro, mara baada ya baada ya kumaliza ukaguzi wa ujenzi wa mradi wa Stendi ya Mabasi Madogo Kihonda, stendi ambayo inajengwa karibu na Stesheni ya SGR ya Jakaya Kikwete Morogoro. “Kuna watu wanatoka mbali wanakuja Stesheni ya Jakaya Kikwete ili …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Massauni amesema mpaka sasa jumla ya Miradi 82 ya Biashara ya Kaboni ipo kwenye rejesta na kati ya hiyo, Miradi 4 imeshafika kwenye hatua ya utekelezaji kamili ambapo utasaidia kuiwezesha nchi kupata mapato na kuimarisha ustawi wa wananchi.
Amesema hayo Dodoma Januari 19, 2025 wakati akiwasilisha taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira akieleza Biashara ya Kaboni inaendelea kutekelezwa katika Halmashauri mbalimbali zikiwemo Halimashauri za Wilaya za Tanganyika, Kiteto, Karagwe, Uvinza na …
Soma zaidi »Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Januari 19, 2026 amefanya mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dkt. Maimbo Mndolwa na ujumbe wake katika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Profesa Palamagamba Kabudi alishiriki katika kikao hicho
Soma zaidi »SHULE YA SEKONDARI YA AMALI MWAMBASHA, SHINYANGA DC, YAKAMILIKA
MWAMBASHA YAANGAZA SHINYANGA: SHULE YA SEKONDARI YA AMALI YAKAMILIKA NA KUFUNGUA MILANGO YA MAFANIKIO KWA VIJANA
Kukamilika kwa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwambasha iliyopo Mkoa wa Shinyanga DC ni hatua kubwa ya maendeleo inayotoa matumaini mapya kwa vijana wa kila rika na kuleta ustawi kwa jamii nzima. Mafanikio haya yana mchango mkubwa katika nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi kama ifuatavyo: Kwanza, shule hii inatoa elimu …
Soma zaidi »🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MWAKA NA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Mwaka Mpya wa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, Wawakilishi wa Heshima na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, katika hafla inayofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, leo tarehe 15 Januari, …
Soma zaidi »WEWE UNALIA PETE YAKO ILIYOVAA SIO NZURI , WAKATI MWENZAKO ANALIA HANA HATA HICHO KIDOLE CHA PETE.
MHE , RAIS , DKT . SAMIA SULUHU HASSAN…..
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




