Maktaba ya Kila Siku: February 17, 2026

Naibu Waziri Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi ) Mhe.Hamza Hassan Juma wakati wa ziara ya kikazi leo Februari 16, 2026 Zanzibar.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa Serikali hizo mbili katika kulinda Muungano. Naibu Waziri Dkt. Dugange alipongeza kazi kubwa ya maendeleo inayofanywa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Alisema kuwa kupitia maendeleo hayo yanaimarisha uchumi wa Zanzibar na …

Soma zaidi »

DCEA YAKAMATA KILOGRAMU 299.8 NA KUTEKETEZAEKARI 203 ZA MIRUNGI SAME

Kilimanjaro, Februari 17, 2026. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama hususan Jeshi la Polisi, kuanzia tarehe 10 hadi 16 Februari, 2026, imefanya operesheni maalum katika vijiji vya Marieni na Mhero vilivyopo kata ya Chome, wilaya ya Same, Kilimanjaro …

Soma zaidi »