*Raia wa Kenya akamatwa akitumia biashara ya chai kuficha uuzaji wa dawa za kulevya. *Basi la King Masai lanaswa likisafirisha skanka. *Mirungi iliyofungwa kama majani ya mwarobaini yakamatwa. *Watumishi wa serikali wanaswa wakihusishwa na usafirishaji wa dawa za kulevya. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imetekeleza …
Soma zaidi »Recent Posts
Taswira ya Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Buyu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanziba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Jengo la Taaluma na Utawala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar
🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI (UDSM – IMS) ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 08 Januari, 2026, Buyu, Zanzibar. #WaziriMkuu #Wamachinga #Bodaboda #Bajaji #HabariZaKitaifa #MaendeleoYaWananchi
Soma zaidi »RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI (UDSM – IMS) ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 08 Januari, 2026, Buyu, Zanzibar.
Soma zaidi »🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WAMACHINGA, MADEREVA PIKIPIKI NA BAJAJI
Waziri Mkuu anazungumza moja kwa moja na wamachinga, madereva wa pikipiki na bajaji kuhusu masuala yanayowagusa katika shughuli zao za kila siku. Katika mazungumzo haya, anasikiliza changamoto zao, anatoa maelekezo, na kufafanua msimamo wa serikali katika kuboresha mazingira ya kazi na maisha ya wananchi wa kipato cha chini. Video hii …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar
WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA MTANDAO KWA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO
Wananchi wametakiwa kutumia mtandao (eRITA) kuomba usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo, huduma ambayo imeboreshwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili kurahisisha huduma kwa watanzania kote nchini. Mfumo huu wa mtandaoni unalenga kutoa huduma kwa haraka, kwa uwazi, na kwa gharama nafuu bila kuwasababishia wananchi usumbufu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




