Recent Posts
TADB YAENDELEA KUWANUFAISHA VIJANA KUPITIA MIKOPO NA UWEZESHAJI
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania @TADB imeendelea kuwa mdau muhimu katika kuwawezesha vijana kushiriki kikamilifu kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi na kuongeza thamani ya mazao. Kupitia mikopo na programu maalum za uwezeshaji, TADB inalenga kuwafanya vijana waone kilimo kama biashara yenye faida, si shughuli ya kujikimu tu. 1. Mikopo Rafiki …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Waziri Rajab Salum kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Mcheche Masaju kabla ya kufungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) uliofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tambukareli, Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tambukareli Jijini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mkuu wa mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Mcheche Masaju, Viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) uliofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tambukareli, Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Viongozi Wateule wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dennis Lazaro Londo kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
🔴 LIVE: UZINDUZI RASMI WA VIJANA PLATFORM | JNICC – 10 JANUARI SAA 2:00 ASB
Karibu ufuatilie uzinduzi rasmi wa Vijana Platform, jukwaa maalum linalolenga kuimarisha ushiriki wa vijana katika maendeleo ya taifa kupitia taarifa, elimu, ubunifu, na fursa mbalimbali. Hafla hii ya kihistoria inafanyika tarehe 10 Januari katika Ukumbi wa JNICC, ikiwaleta pamoja viongozi wa serikali, wadau wa maendeleo, na vijana kutoka maeneo mbalimbali …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




