Recent Posts
SIKU YA USAFI DUNIANI
NEMC katika kuadhimisha Siku ya Usafi Duniani tarehe 20 Septemba, 2025 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa mazingira wakiwemo DEPO, imefanya usafi Hospitali ya Mwananyamala na maeneo mengine nchi nzima ambapo Kanda 13 zimetoa huduma ya Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira.
Soma zaidi »NEMC Kanda ya Ziwa katika kuadhimisha siku ya usafi duniani wamefanya usafi soko la Samaki Nyamagana
NEMC kanda ya Kusini katika kuadhimisha siku ya Usafi duniani wamesafisha fukwe za Call and Vision Manispaa ya Mtwara Mikindani
NEMC Kanda ya Ziwa Mashariki katika kuadhimisha siku ya usafi duniani wamefanya usafi Soko la Samaki nyamagana
NEMC YAANZA UKAGUZI WA MAZINGIRA KWA MIRADI YA MAENDELEO
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetunukiwa Tuzo Kuu ya Ubunifu katika Huduma Jumuishi za Fedha (Nestor Espenilla Jr. Financial Inclusion Innovation Award) inayotolewa na Jumuiya ya Huduma Jumuishi za Fedha (AFI), yenye wanachama 84 duniani.
Tuzo hiyo ilipokelewa na Naibu Gavana wa BoT anayeshughulikia Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Bi. Sauda Msemo, kwa niaba ya Gavana Bw. Emmanuel Tutuba, katika Mkutano Mkuu wa AFI uliofanyika hivi karibuni mjini Swakopmund, Namibia. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Septemba 15, 2025 wakati akitangaza tuzo hiyo, …
Soma zaidi »Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetunukiwa Tuzo Kuu ya Ubunifu katika Huduma Jumuishi za Fedha (Nestor Espenilla Jr. Financial Inclusion Innovation Award) inayotolewa na Jumuiya ya Huduma Jumuishi za Fedha (AFI), yenye wanachama 84 duniani.
Tuzo hiyo ilipokelewa na Naibu Gavana wa BoT anayeshughulikia Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Bi. Sauda Msemo, kwa niaba ya Gavana Bw. Emmanuel Tutuba, katika Mkutano Mkuu wa AFI uliofanyika hivi karibuni mjini Swakopmund, Namibia. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Septemba 15, 2025 wakati akitangaza tuzo hiyo, …
Soma zaidi »HABARI KWA UMMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Japan Mhe. Anderson Mutatembwa, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amemsihi Balozi Mutatembwa kuzingatia kipaumbele cha nchi ambacho ni diplomasia ya uchumi kwa kuhakikisha anavutia wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nchini Japan pamoja na kuimarisha ushirikiano wa ubia. Amemsisitiza Balozi Mutatembwa kuhakikisha makampuni ya Japan yanawekeza nchini Tanzania ili kuongeza thamani ya bidhaa hapa nchini …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




