MatokeoChanya

“KULINDA MAZINGIRA NI MIONGONI MWA NEEMA NYINGI AMBAZO MTUME MOHAMED, AMEAGIZA KULINDA

Nchi inaposhindwa kulinda Neema ya mazingira kwa ajili yetu na kizaji kijacho Mungu anaweza kuondosha Neema nyingine nyingi kwenye nchi. Ameahidi kumuunga mkono na yupo tayari kupokea maagizo yoyoyte ya Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ya kulinda Mazingira.

Soma zaidi »

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameviagiza vyombo vyote vya usalama vihakikishe watu wote waliokwama ndani ya jengo lililoporomoka katika kata ya Kariakoo jijini Dar es Salaam wanaokolewa huku mali zao zikilindwa.

Ametoa agizo hilo (Jumamosi, Novemba 16, 2024) baada ya kushuhudia juhudi za uokoaji zinavyoendelea baada ya jengo ghorofa nne kuporomoka katika eneo la Karikoo. Akizungumza baada ya kukagua juhudi za uokoaji katika eneo hilo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Majaliwa amesema hadi sasa watu 40 mejeruhiwa ambapo …

Soma zaidi »

WIZARA YA FEDHA ITAWEKA AJENDA YA RAIS DKT SAMIA YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUWA KIPAUMBELE

Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza kuwa ni gharama kubwa sana kukabiliana na uharibifu wa Mazingira, lakini Mataifa ya Afrika Mashariki Yanapochukua hatua za Mapema itaepusha gharama za baadae za kurejesha Mazingira. Ni lazima Nchi zote za Afrika Mashariki zikaiga kwa Tanzania sasa zikahamasisha matumizi ya nishati safi ya …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AONGOZA SAFARI YA MABADILIKO EAC: KUJADILI MUSTAKABALI WA AFRIKA MASHARIKI”

Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa mwenyeji wa Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ameonyesha uongozi wa dhati na dira mpya ya mabadiliko katika kanda. Tukio hili la kihistoria lililofanyika jijini Arusha limekusanya viongozi wa nchi wanachama wa EAC kwa ajili ya …

Soma zaidi »

ARUSHA 6Washiriki Wajumuika Arusha Kusherehekea Mafanikio ya Ushirikiano wa Kikanda

Mkutano huu pia umehudhuriwa na wadau wakuu wakiwemo wawakilishi wa Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Mataifa (UN), jumuiya nyingine za kikanda, mabalozi, viongozi wa sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wasomi. Washiriki wamejadili hatua zilizopigwa katika nyanja mbalimbali kama vile biashara ya kikanda, usafirishaji, na usalama wa kikanda, huku …

Soma zaidi »

Kaulimbiu ya Miaka 25 ya EAC: Kutafakari na Kujenga Mustakabali wa Baadaye

Kaulimbiu ya maadhimisho, “Miaka 25 ya Ushirikiano wa Kikanda: Safari ya Kutafakari na Matarajio ya Baadaye,” inatoa mwelekeo wa majadiliano ya jinsi EAC inavyoweza kuimarisha mshikamano wa kiuchumi, kijamii, na kisiasa miongoni mwa nchi wanachama, ambazo ni Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania, Uganda, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Soma zaidi »

Viongozi wa EAC Wakutana Arusha Kutafakari Safari ya Robo Karne

Katika tukio la kihistoria linaloangazia miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wakuu wa nchi na serikali kutoka mataifa wanachama wamekutana jijini Arusha, Tanzania. Maadhimisho haya yanalenga kutafakari mafanikio, changamoto, na fursa zilizoshuhudiwa katika safari ya ushirikiano wa kikanda tangu kuanzishwa kwa jumuiya hii mwaka 1999.

Soma zaidi »