ARUSHA 6Washiriki Wajumuika Arusha Kusherehekea Mafanikio ya Ushirikiano wa Kikanda

Mkutano huu pia umehudhuriwa na wadau wakuu wakiwemo wawakilishi wa Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Mataifa (UN), jumuiya nyingine za kikanda, mabalozi, viongozi wa sekta binafsi, mashirika ya kiraia, na wasomi. Washiriki wamejadili hatua zilizopigwa katika nyanja mbalimbali kama vile biashara ya kikanda, usafirishaji, na usalama wa kikanda, huku wakitoa mapendekezo ya jinsi ya kuimarisha zaidi ushirikiano huo.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *