Viongozi wa EAC Wakutana Arusha Kutafakari Safari ya Robo Karne

Katika tukio la kihistoria linaloangazia miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wakuu wa nchi na serikali kutoka mataifa wanachama wamekutana jijini Arusha, Tanzania. Maadhimisho haya yanalenga kutafakari mafanikio, changamoto, na fursa zilizoshuhudiwa katika safari ya ushirikiano wa kikanda tangu kuanzishwa kwa jumuiya hii mwaka 1999.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *