Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ameeleza kuwa ni gharama kubwa sana kukabiliana na uharibifu wa Mazingira, lakini Mataifa ya Afrika Mashariki Yanapochukua hatua za Mapema itaepusha gharama za baadae za kurejesha Mazingira.
Ni lazima Nchi zote za Afrika Mashariki zikaiga kwa Tanzania sasa zikahamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kuliko kusubiri kuja kukabiliana na Madhara mbapo gharama itakuwa ni kubwa zaidi.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+