#uchaguzi2025 Maandalizi ya Amani yatazaa matunda ya Amani

Amani ni nguzo kuu katika uchaguzi mkuu wa 2025 nchini Tanzania. Bila amani, hakuna uchaguzi huru, haki, wala maendeleo ya demokrasia.

Amani hutuliza jamii, huimarisha mshikamano, na kuruhusu wananchi kushiriki uchaguzi kwa utulivu, uhuru na matumaini ya kesho bora.

#amaniNaUtulivu

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *