Kagera River Girls: Uwekezaji wa Bilioni 4.1 Unaobadilisha Ndoto za Wasichana Kuwa Mafanikio ya Taifa
Katika Wilaya ya Karagwe, Kata ya Kanoni, kunasimama kwa fahari Shule ya Sekondari Kagera River Girls—taa ya matumaini na ushahidi hai kwamba uwekezaji sahihi katika elimu ya wasichana huzaa matunda makubwa kwa jamii na taifa kwa ujumla. Mradi huu wa kimkakati wa shule ya wasichana ulianza Februari 2022 na hadi kukamilika kwake umegharimu …
Soma zaidi »KIUMA Yageuza Taka za Plastiki kuwa Ajira na Tumaini Karagwe
VIJANA KAZINI, MAZINGIRA SALAMA: Na Mwandishi Wetu Katika kipindi ambacho changamoto za ajira na uchafuzi wa mazingira zimekuwa zikiongezeka, kikundi cha vijana cha KIUMA kutoka wilayani Karagwe kimeibuka kama mfano halisi wa ubunifu, uthubutu na matumaini mapya kwa vijana wa Tanzania. Kikundi hiki kilianzishwa mwaka 2023 na vijana waliodhamiria kuchukua hatua dhidi ya taka …
Soma zaidi »DHAHABU YA KIJANI INAYOINGIZA MABILIONI KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISENYI
Misenyi – kitovu cha uzalishaji wa kahawa bora aina ya Robusta inayotikisa masoko ya kimataifa! Kwenye video hii, utajionea jinsi wilaya hii ya Mkoa wa Kagera ilivyogeuza kahawa kuwa chanzo kikuu cha mapato, kuingiza zaidi ya TZS Bilioni 2 kwa mwaka kupitia ushuru wa mazao na biashara. 👩🏽💼 Sikiliza kauli …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA SHULE YA SEKONDARI IHUNGO MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Majengo Mapya ya Shule hiyo ya Ihungo Sekondari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MULEBA NA KEMONDO AKIWA NJIANI KUELEKEA BUKOBA MKOANI KAGERA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Muleba wakati akiwa njiani kuelekea Bukoba mkoani Kagera tarehe 17 Januari 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kemondo wakati akieleka Bukoba mjini mkoani …
Soma zaidi »WANANCHI WA KARAGWE WALALAMIKA KUKITHIRI KWA VITENDO VYA RUSHWA KWENYE UPATIKANAJI WA NAMBA ZA NIDA
Ikiwa ni Mwendelezo wa ziara za Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe. Innocent Bashungwa katika vijiji vya kata zinazopatika jimboni Karagwe ambazo zimekuwa na lengo la ya kutoa shukrani kwa wananchi kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi uliofanyika Octoba 28, …
Soma zaidi »RC KAGERA AKABIDHI BOTI KWA WATENDAJI KATA, ATOA MAAGIZO KUHUSU MATUMIZI
Na Allawi Kaboyo,MulebaKufatia kuwepo kwa vitendo vya uvuvi Haramu katika ziwa Victoria,Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amekabidhi boti tatu mpya kwa watendaji wa Kata za Bumbire na Ikuza na boti moja kubwa kwa sekta ya uvuvi kwa lengo la kudhibiti uvuvi haramu wilayani Muleba.Zoezi hilo lilifanyika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+