KAHAWA

DHAHABU YA KIJANI INAYOINGIZA MABILIONI KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISENYI

Misenyi โ€“ kitovu cha uzalishaji wa kahawa bora aina ya Robusta inayotikisa masoko ya kimataifa! Kwenye video hii, utajionea jinsi wilaya hii ya Mkoa wa Kagera ilivyogeuza kahawa kuwa chanzo kikuu cha mapato, kuingiza zaidi ya TZS Bilioni 2 kwa mwaka kupitia ushuru wa mazao na biashara. ๐Ÿ‘ฉ๐Ÿฝโ€๐Ÿ’ผ Sikiliza kauli …

Soma zaidi »