MatokeoChanya

MWALIMU. J K NYERERE, HOJA JUU YA TANZANIA NA MUUNGANO

Katika historia ya Tanzania, jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere linang’aa kwa upekee kama kiongozi aliyesimama kidete kuasisi na kulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kupitia fikra zake makini na maono yake ya kina kuhusu mustakabali wa Afrika, Mwalimu Nyerere alijenga hoja nzito juu ya umuhimu wa Muungano kama njia …

Soma zaidi »

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefeka Mashamba ya bangi mkoani Shinyanga

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imefanya operesheni maalum katika mikoa mbalimbali, ikiwemo Shinyanga, na kufanikisha ukamataji wa jumla ya kilo 54,506.553 za dawa za kulevya. Katika operesheni hiyo, …

Soma zaidi »