Mdau wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya Nuru Saleh Ahmed ameeleza kuwa Ni muhimu kwa Serikali kushirikiana na jamii katika kuwawezesha waraibu wa zamani wa dawa za kulevya kwa kuwapatia mitaji na fursa za kiuchumi baada ya wao kuacha matumizi ya dawa hizo. Utafiti na hali halisi unaonesha kuwa …
Soma zaidi »MatokeoChanya
TAKWIMU ZA MWENENDO WA HUDUMA ZILIZOTOLEWA KWA WARAIBU KATIKA SEHEMU YA ITEGA KWA KIPINDI 2021-2024
Kauli mbiu: “Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya dawa za kulevya” Mwisho.
Soma zaidi »Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Jijini Abuja nchini Nigeria leo tarehe 25 Juni 2025
Makamu wa Rais anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim utaokaofanyika tarehe 25-27 Juni 2025.
Soma zaidi »Watanzania mbalimbali waishio nchini Nigeria wakimpokea Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati alipowasili Abuja nchini Nigeria kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim utaokaofanyika tarehe 25-27 Juni 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025
VIJANA WAMWAGA SIFA KWA SERIKALI KATIKA KONGAMANO LA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA
Katika Kongamano la Vijana Kupinga Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lililoandaliwa na Mamlaka ya Kupiga vita na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) lililofanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma, vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walijitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi za serikali katika kupambana na …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, MGENI RAMSI SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji zilizofanyika mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025. Katika tukio hili la kihistoria, Rais Samia ameonesha mshikamano wa kindugu kati …
Soma zaidi »HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji zilizofanyika mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025. Katika tukio hili la kihistoria, Rais Samia ameonesha mshikamano wa kindugu kati …
Soma zaidi »VIJANA WAMWAGA SIFA KWA SERIKALI KATIKA KONGAMANO LA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DODOMA
Katika kilele cha Kongamano la Vijana Kupinga Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya lililoandaliwa na Mamlaka ya Kupiga vita na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) lililofanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma, vijana kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walijitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi za serikali katika …
Soma zaidi »“Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limetusaidia kujikwamua kiuchumi sisi kama Foundation for Disabilities Hope kwa kipekee kabisa tunakuomba Mheshimiwa Waziri Mkuu uwakabidhi tuzo tuliyoandalia Shirika kama alama ya shukrani kwetu”
Maiko Salali, Mwenyekiti wa Foundation for Disabilities Hope (FDH)
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+