Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa uongozi wa Manispaa ya Morogoro, mara baada ya baada ya kumaliza ukaguzi wa ujenzi wa mradi wa Stendi ya Mabasi Madogo Kihonda, stendi ambayo inajengwa karibu na Stesheni ya SGR ya Jakaya Kikwete Morogoro. “Kuna watu wanatoka mbali wanakuja Stesheni ya Jakaya Kikwete ili …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 20, 2026
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Massauni amesema mpaka sasa jumla ya Miradi 82 ya Biashara ya Kaboni ipo kwenye rejesta na kati ya hiyo, Miradi 4 imeshafika kwenye hatua ya utekelezaji kamili ambapo utasaidia kuiwezesha nchi kupata mapato na kuimarisha ustawi wa wananchi.
Amesema hayo Dodoma Januari 19, 2025 wakati akiwasilisha taarifa kuhusu muundo na majukumu ya Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira akieleza Biashara ya Kaboni inaendelea kutekelezwa katika Halmashauri mbalimbali zikiwemo Halimashauri za Wilaya za Tanganyika, Kiteto, Karagwe, Uvinza na …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+