MHE , RAIS , DKT . SAMIA SULUHU HASSAN…..
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 14, 2026
TUNATARAJIA KUALIKA SEKTA BINAFSI ZA DUNIA YOTE .. – MHE RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
TADB YAENDELEA KUWANUFAISHA VIJANA KUPITIA MIKOPO NA UWEZESHAJI
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania @TADB imeendelea kuwa mdau muhimu katika kuwawezesha vijana kushiriki kikamilifu kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi na kuongeza thamani ya mazao. Kupitia mikopo na programu maalum za uwezeshaji, TADB inalenga kuwafanya vijana waone kilimo kama biashara yenye faida, si shughuli ya kujikimu tu. 1. Mikopo Rafiki …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+