Maktaba ya Kila Siku: January 6, 2026

WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA MTANDAO KWA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO

Wananchi wametakiwa kutumia mtandao (eRITA) kuomba usajili wa vyeti vya kuzaliwa na vifo, huduma ambayo imeboreshwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili kurahisisha huduma kwa watanzania kote nchini. Mfumo huu wa mtandaoni unalenga kutoa huduma kwa haraka, kwa uwazi, na kwa gharama nafuu bila kuwasababishia wananchi usumbufu …

Soma zaidi »

“WANAOTOA VYETI VYA KUZALIWA KWA NJIA ZA PANYA WATAKIONA CHA MOTO” WAZIRI DKT. JUMA ZUBERI HOMERA

Awamu ya Kwanza ya Mpango wa Msaada wa Kisheria kwa Wananchi (MSLAC) imefanikiwa kuwafikia zaidi ya Watanzania 3,734,157 kote nchini, ikiwa ni hatua kubwa katika kuhakikisha wananchi wanapata haki, elimu ya sheria, na msaada wa kisheria kwa wakati. Katika hatua nyingine, Waziri ametoa maelekezo mazito dhidi ya watu wanaotoa vyeti …

Soma zaidi »

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amewataka wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia masuala ya usalama na afya mahali pa kazi ili kulinda ustawi wa wafanyakazi na kuongeza tija ya uzalishaji.

Waziri Sangu ametoa wito huo (Januari 05, 2026) mkoani Mwanza, wakati wa ziara yake maalum ya kukagua utekelezaji wa masuala ya  Usalama na Afya Mahali Pa Kazi katika Kiwanda cha Omega Fish Limited. Akiwa kiwandani hapo Waziri Sangu amepongeza menejimenti ya kiwanda hicho kwa kutoa ajira kwa wazawa na kuzingatia …

Soma zaidi »