Maktaba ya Mwaka: 2025

NAMWOMBA MWENYEZI MUNGU KUWA MWISHO WA AWAMU YA SITA USIPIMWE KWA VITU BALI KWA TABASAMU- RAIS SAMIA

“Namwomba Mwenyezi Mungu kuwa mwisho wa Awamu ya Sita usipimwe kwa vitu bali kwa tabasamu tutakaloliacha kwenye nyuso za Watanzania” — inatukumbusha maana ya uongozi unaogusa watu moja kwa moja. Ni wito wa kufanya kazi kwa moyo, kusikiliza wananchi na kuhakikisha maisha yao yanakuwa bora zaidi kwa vitendo vinavyoonekana ndani …

Soma zaidi »

DKT. MWIGULU AAPISHWA IKULU CHAMWINO—RAIS SAMIA AELEZA SABABU ZA UTEUZI WAKE

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika hotuba yake, Rais Samia amesema uteuzi huo ulipitia ushindani mkubwa na Dkt. Mwigulu ndiye aliyebeba sifa nyingi zaidi kwenye vigezo vyote vilivyopimwa. Ameeleza kuwa majukumu ya Waziri Mkuu …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA KUHUTUBIA NA KUFUNGUA BUNGE LA 13, DODOMA – TANZANIA (NOV 14, 2025)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia na kufungua Bunge la 13 katika ukumbi wa Bunge, Dodoma – Novemba 14, 2025. Katika hotuba hii muhimu, Rais Samia anatoa mwelekeo wa Serikali kwa mwaka ujao, akigusa masuala ya uchumi, maendeleo ya kijamii, diplomasia, usimamizi wa …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA AKIMUAPISHA MWIGULU NCHEMBA KUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla inayofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 14 Novemba, 2025.

Soma zaidi »

BREAKING NEWS: MWIGULU NCHEMBA ATANGAZWA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI 🇹🇿

Leo bungeni, Spika ametangaza rasmi uteuzi wa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangazo hilo limepokelewa kwa shangwe na pongezi kutoka kwa wabunge na wananchi nchini kote. Tazama video hii kwa taarifa kamili kutoka Bungeni Dodoma na maoni ya viongozi mbalimbali. #Tanzania #MwiguluNchemba #WaziriMkuu …

Soma zaidi »

MKAZI WA ARUSHA AACHANA NA DAWA ZA KULEVYA, AANZISHA SHAMBA LA MAZAO YA CHAKULA

Talik Azizi Mkawa, mkazi wa Arusha, ni mfano wa kuigwa baada ya kuamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na kuanza ukurasa mpya wa maisha. Baada ya kupata nafuu, Talik amesema aliguswa na wito wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewahimiza vijana waliokuwa waraibu wa dawa za kulevya kujikita …

Soma zaidi »