Maktaba ya Mwaka: 2025

KUTOKA TANGA HADI SONGWE, KILIMO KINA BENKIKA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒΎ

Safari hii tunachunguza namna kilimo kinavyobadilisha maisha ya Watanzania kutoka Tanga hadi Songwe. Tunazungumza na wakulima, wataalamu, na vijana wanaotumia ubunifu kukuza uchumi kupitia ardhi yao. πŸ‘‰ Utajifunza: Mbinu bora za kilimo cha kisasa Jinsi kilimo kinavyowezekana kuwa biashara yenye faida Mifano halisi ya mafanikio kutoka mikoa tofauti Kilimo si …

Soma zaidi »

DCEA YANASA VIJANA WAKITENGENEZA BISKUTI ZA BHANGI KWA AJILI YA HOUSE PARTY

Katika operesheni maalum iliyofanyika eneo la Mlalakuwa, wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Kudhibiti na Kuapmbana na Dawa za Kulevya (DCEA) wamewakamata vijana wanne wakidaiwa kutengeneza biskuti za bangi kwa ajili ya sherehe ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Watuhumiwa hao ni Bright A. Malisa (26), Humphrey G. Safari …

Soma zaidi »

JE..! UNAJUA JUKUMU LA SAFARI YA APOLLO 11, 20/07/1969 β€” TANZANIA ILIHUSIKA..? πŸŒπŸš€

Safari ya Apollo 11 ni moja ya matukio makubwa zaidi katika historia ya ubinadamu β€” siku ambayo binadamu alikanyaga mwezini kwa mara ya kwanza. Lakini je, unajua kuwa Tanzania ilikuwa sehemu muhimu ya mafanikio hayo? Katika video hii, tunafichua jukumu la kipekee lililochezwa na kituo cha Mawasiliano cha Tanzania wakati …

Soma zaidi »

JE HUU NI WAKATI WA FURSA KATIKA KILIMO NA KUJENGA MNYORORO WA THAMANI..?

Huu ni wakati wa kuchukua hatua katika kilimo! Katika video hii tunazungumzia jinsi sekta ya kilimo inavyobadilika na fursa kubwa zilizopo kwa vijana, wakulima, na wawekezaji. Utajifunza: Jinsi ya kujenga mnyororo wa thamani (Value Chain) wenye tija Njia za kuongeza kipato kupitia kilimo cha kisasa Changamoto na suluhisho katika soko …

Soma zaidi »

Happy Nyerere Day, Watanzania!

Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere β€” mtu aliyeweka msingi wa umoja, utu na maendeleo kwa taifa letu. Fikra zake bado zinatupa dira ya kujenga Tanzania yenye haki, usawa na heshima kwa kila mmoja. Ni siku ya kutafakari, kujifunza, na kuendeleza maono yake kwa vitendo β€” katika …

Soma zaidi »