Maktaba ya Mwaka: 2025

TRA Yavunja Rekodi: Yakusanya Trilioni 16.528 Kwa Kipindi cha Miezi Sita Julai – Desemba 2024

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kuvunja rekodi ya makusanyo ya mapato nchini kwa kukusanya kiasi cha TZS trilioni 16.528 ndani ya kipindi cha miezi sita kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Hii ni hatua muhimu inayodhihirisha juhudi madhubuti za serikali katika kuongeza mapato ya ndani na kuboresha mifumo ya ukusanyaji …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Afya Jenista Mhagama mara baada ya kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu na Mwaka Mpya 2025 iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma tarehe 01 Januari 2025

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiambatana na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu na Mwaka Mpya 2025 iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma

Akizungumza na waumini mara baada ya Misa hiyo, Makamu wa Rais ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali kuwatakia watanzania wote heri na baraka kwa mwaka mpya 2025. Makamu wa Rais ametoa wito kwa viongozi wa dini, …

Soma zaidi »