Ni wakati wa kutafakari, kushirikiana na kuombea amani, mshikamano na maendeleo ya Watanzania wote. Dua hii inalenga kutuunganisha kama taifa moja lenye upendo na mshikikano, huku tukimshukuru Mungu kwa baraka na neema nyingi alizotujalia, na kuomba mwongozo wake katika safari ya kujenga Tanzania yenye heshima, ustawi na mshikamano wa kudumu.
#RaisSamia #Tanzania #SalaKwaTaifa #DuaKwaTaifa #SamiaSuluhu #AmaniNaUtulivu #Maendeleo
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+