MKUTANO WA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DODOMA.

Mkutano maalum kati ya Waziri wa Katiba na Sheria na Waandishi wa Habari umefanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kujibu hoja, kuelimisha umma na kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika maboresho ya sheria na upatikanaji wa haki kwa wananchi.

Usikose kufuatilia majibu ya Waziri kuhusu masuala ya usuluhishi (ADR), msaada wa kisheria, na utekelezaji wa haki za msingi kwa Watanzania.


#WaziriWaSheria
#KatibaNaSheria #DodomaUpdates #UsuluhishiADR #HakiKwaWote #LegalAidTanzania #MamaSamia #SheriaNiMsingi #TanzaniaLeo #SerikaliYasikiliza

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *