Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) Kitaifa kwa mwaka 2025, yanayofanyika leo mkoani Singida.
Mgeni rasmi katika sherehe hizi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambapo atahutubia taifa na kuzungumza na wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali nchini.
Maadhimisho haya yanalenga kutambua mchango wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa na kuhimiza haki, usawa na ustawi mahali pa kazi.
πMahali: Singida
π Tarehe: 1 Mei 2025
π€ Mgeni Rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
π‘ Endelea kufuatilia matangazo haya mubashara hapa!
#MeiMosi2025 #Wafanyakazi #Singida #SamiaSuluhu #Live #SikuYaWafanyakazi #MayDay2025 #TanzaniaLive #RaisSamia
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+