Hotuba kamili ya ukaribisho ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Viongozi wa EAC na SADC uliofanyika tarehe 8 Februari 2025 jijini Dar es Salaam.
Rais Samia alisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya EAC na SADC katika kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto za usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Alitoa wito kwa viongozi wa kanda hizi mbili kuimarisha juhudi za pamoja ili kuhakikisha amani na utulivu vinapatikana katika eneo hilo
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+