Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa kampuni ya SC Johnson Family Dkt. Fisk Johnson kutoka Marekani pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma
MatokeoChanya
February 1, 2025
CCM, DIPLOMASIA, IKULU, JIJI LA DODOMA, Matokeo ChanyA+, MAWASILIANO IKULU, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
138 Imeonekana