Nchi inaposhindwa kulinda Neema ya mazingira kwa ajili yetu na kizaji kijacho Mungu anaweza kuondosha Neema nyingine nyingi kwenye nchi. Ameahidi kumuunga mkono na yupo tayari kupokea maagizo yoyoyte ya Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ya kulinda Mazingira.
Soma zaidi »Recent Posts
Askofu Dkt Maasa OleGabriel RAIS SAMIA ANATEKELEZA MAAGIZO YA MUNGU YA KUITUNZA BUSTANI YA EDENI
Askofu Dkt. Maasa OleGabriel Katibu Mkuu Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania na Askofu wa Jimbo wa Makanisa ya International Evangelisim Arusha – Ameeleza Jinsi ambavyo Kanisa linamuunga mkono Rais Samia Katika Utunzaji wa Mazingira kama agizo la Kwanza la Mungu kwa Adamu (binadamu) kuitunza Bustani ya Edeni.
Soma zaidi »KATIBU TAWALA MKOA WA ARUSHA MISSAILE MUSA: MKOA UNANUFAIKA NA UWEPO WA MIKUTANO YA KIMATAIFA
Ameeleza kwamba Mkoa wa Arusha baada ya kufanikiwa kwenye utalii wa mali asili na Mikutano ya kitaifa na kimataifa, sasa umejipanga kuwekeza kwenye utalii wa kimatibabu.
Soma zaidi »Takwimu za Maendeleo ya Miundombinu ya Barabara Jijini Dar es Salaam
Jiji la Dar es Salaam limeendelea kushuhudia maendeleo makubwa katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara ili kukidhi mahitaji ya wakazi wake wanaoongezeka kwa kasi. Serikali, kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara …
Soma zaidi »“WATANZANIA KUANZA KUNUFAIKA NA TIBA YA MAGONJWA ADIMU KUTOKA CUBA” – Balozi Hamfrey Polepole
Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Mhe. Hamfrey Polepole, ameeleza jinsi Watanzania watakavyonufaika na matibabu ya magonjwa adimu kutoka Cuba. Tayari dawa za magonjwa hayo zimewasili nchini na kusambazwa kwenye mojawapo ya hospitali. Mpango huu utaimarisha huduma za afya na kuhakikisha tiba za kisasa kwa magonjwa kama kansa na kisukari zinapatikana.
Soma zaidi »AIR TANZANIA YAPATA IDHINI KUSAFIRISHA MIZIGO KATI YA DAR ES SALAAM NA GUANGZHOU, CHINA
Air Tanzania Company Limited (ATCL) imefanikiwa kupata idhini rasmi kutoka kwa mamlaka za usafiri wa anga za China kuanzisha huduma za usafirishaji wa mizigo kati ya Jiji la Dar es Salaam na Guangzhou, China. Hatua hii ni mafanikio makubwa kwa shirika la ndege la taifa, linaloendelea kupanua huduma zake kimataifa. …
Soma zaidi »Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, Hatua Kubwa za Ujenzi Kuelekea Mapinduzi ya Usafiri wa Anga Tanzania
Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, unaojengwa katika Kata ya Msalato, Wilaya ya Dodoma Mjini, Jiji la Dodoma, unatekelezwa kwa awamu mbili na unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 600 hadi kukamilika kwake. Ujenzi ulianza mwaka 2022, na awamu ya kwanza imegharimu shilingi bilioni 196. Mradi huu …
Soma zaidi »CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI KIGAMBONI: NGUVU MPYA KATIKA KUINUA MAISHA NA UJUZI WA JAMII
Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi Kigamboni (FDC-KIGAMBONI), kilichozinduliwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023, ni mradi muhimu wa maendeleo ya kijamii unaolenga kuinua maisha ya wananchi kwa kuwapatia elimu ya vitendo na ujuzi unaohitajika katika soko la ajira na shughuli za kiuchumi. Chuo hiki ni …
Soma zaidi »Mkutano wa 21 wa Majaji wa Afrika Mashariki. Fursa kwa Haki, Ushirikiano, na Maendeleo ya Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 03, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Ishirini na Moja wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Grand Melia, jijini Arusha Mkutano wa Ishirini na Moja wa Chama …
Soma zaidi »Manufaa ya Mikutano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa Maendeleo ya Kikanda
Mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaleta manufaa kadhaa kwa wanachama wa jumuiya hiyo pamoja na wananchi wa ukanda huu. Manufaa hayo ni pamoja na: Kuimarisha Ushirikiano wa Kiuchumi Kujadili mikakati ya kuongeza biashara ya kikanda kupitia Soko la Pamoja (Common Market). Kuweka sera zinazorahisisha biashara za mpakani, kama …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




