Kampeni hii si tu inaleta msaada wa kisheria bali pia inaimarisha misingi ya demokrasia na utawala bora nchini Tanzania.
Soma zaidi »Recent Posts
“NENDA KAANZIE PALE ALIPOREKEBISHA BASHUNGWA, NA UENDELEZE WIZARA YA UJENZI VIZURI” Rais Dkt Samia
“NATARAJIA SASA KILE KITI UTAKIACHA NA UTASHUKA NA WATAALAMU KWENYE FILD UKAFANYE KAZI YAKO”
Haya ni maelekezo makini na yenye msisitizo kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bi Aisha. Rais anaonyesha umuhimu wa mawaziri kushuka hadi ngazi za chini ili kushirikiana moja kwa moja na wananchi na wataalamu kwenye sekta husika, hasa katika utekelezaji wa miradi na …
Soma zaidi »MHE. MASAUNI TWENDE UKAIMARISHE MUUNGANO WETU, NI CV YAKO NYINGINE, PIA KAIMARISHE JIMBO KIKWAJUNI.
Ni mafanikio gani makubwa ambayo Watanzania wanapaswa kujivunia tangu kupata Uhuru?
MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA
RAIS SAMIA ANASHIRIKI KWENYE MJADALA WA WAKUU WA NCHI AFRIKA MASHARIKI
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameongoza Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika jijini Arusha. Mkutano huu umewaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama kujadili masuala muhimu yanayoathiri kanda na mustakabali wa jumuiya. Mantiki ya Mjadala: Ufadhili Endelevu wa Jumuiya: Wakuu …
Soma zaidi »MIAKA 63 YA UHURU WETU MAANDAMANO MAKUBWA YAKIFUATIWA NA KULIOMBEA TAIFA MKOANI ARUSHA
Katika kuadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika ipate uhuru wake tarehe 9 Desemba 1961, mkoa wa Arusha umeandika historia kwa kushuhudia maandamano makubwa na maombi maalum ya kuliombea taifa. Tukio hili, lililovuta hisia za wengi, limeleta pamoja maelfu ya wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii, wakiwemo viongozi wa dini, serikali, wanaharakati, …
Soma zaidi »KUONGEZEKA KWA MATUMIZI YA UMEME, KIASHIRIA CHA KUKUA KWA UCHUMI – DKT. BITEKO
“ Mkifanyabiashara maana yake mahitaji ya nishati ya umeme yanaongezeka na hii ni kwa sababu viwanda vingi vimejengwa na uchumi unachangamka. Tunaanza kuona wananchi wanatumia umeme megawati 52 na viwanda vinatumia megawati 48 hii ni kiashiria kuwa uchumi unaendelea kukua vizuri,” amebainisha Dkt. Biteko.
Soma zaidi »Ujenzi wa Shule ya Sekondari Ubaruku, Serikali Yatoa Milioni 583 kwa Wananchi wa Mbarali
Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuwekeza katika sekta ya elimu kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 583 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Ubaruku, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali. Mradi huu unalenga kuboresha upatikanaji wa elimu kwa vijana wa eneo hilo na kupunguza changamoto ya …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




