Recent Posts

Tanzania na Urusi zasaini vipengele vya mfumo wa makubaliano ya kuimarisha ushirikiano wa Biashara na Uchumi wakihitimisha Mkutano wa kwanza wa tume ya pamoja ya Ushirikiano wa Biashara na Uchumi baina ya nchi zao, Jana jijini Dar es Salaam

Mkutano huo wa siku mbili umehusisha; Mkutano wa Wataalamu, Mkutano wa Tume ya pamoja na Kongamano la Uwekezaji, kabla ya kuhitimishwa kwa ngazi ya juu ya Waheshimiwa Mawaziri kutia saini makubaliano hayo. Katikatika taarifa yao waliyoitoa kwa pamoja mara baada ya kutia saini makubaliano hayo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya …

Soma zaidi »

Mwaka 2023, Tanzania ilipiga hatua kubwa katika uzalishaji wa chakula, ambapo uzalishaji ulifikia tani milioni 20.4, ikilinganishwa na tani milioni 17.1 mwaka 2022. Hii inawakilisha ongezeko la takriban tani milioni 3.3, linalotokana na juhudi za serikali na Wizara ya Kilimo kuimarisha kilimo kama nguzo ya uchumi na usalama wa chakula nchini

Uwekezaji katika Umwagiliaji: Kupitia miradi ya umwagiliaji na ongezeko la bajeti, maeneo mengi ya kilimo yamewezeshwa kupata maji ya kutosha kwa ajili ya mazao, jambo lililosaidia kuongeza uzalishaji, hasa katika mikoa yenye ukame​ Uzalishaji wa Mbegu Bora: Serikali imeongeza uzalishaji wa mbegu bora kutoka tani 35,199 mwaka 2021 hadi tani …

Soma zaidi »

Katika mwaka wa fedha wa 2023/2024, Wizara ya Kilimo nchini Tanzania ilipokea ongezeko la bajeti hadi kufikia TZS 970.79 bilioni. Hii inawakilisha ongezeko la asilimia 29.24 ikilinganishwa na mwaka uliopita, ambapo bajeti ya wizara ilikuwa takribani TZS 751.12 bilioni

Ongezeko hili la bajeti linaashiria azma ya serikali ya kuimarisha sekta ya kilimo kwa kutumia zaidi kwenye miradi ya maendeleo kama vile miundombinu ya umwagiliaji, utafiti wa kilimo, na upatikanaji wa masoko. Aidha, sehemu kubwa ya fedha hizi (TZS 767.84 bilioni) imetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ambayo inahusisha …

Soma zaidi »

MATOKEO DARASA LA SABA 2024

Jumla ya watahiniwa 974,229 Sawa na 80.87%, watahiniwa wenye matokeo wamefaulu na kumaliza Elimu ya Msingi 2024. Hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.29%,. Kati ya watahiniwa hao wavulana ni 449,057 Sawa na 46% na wasichana ni 525,172 Sawa na 54% Hivyo ufaulu wa wasichana umeshuka kwa 0.53% na ufaulu …

Soma zaidi »