MATOKEO DARASA LA SABA 2024

Jumla ya watahiniwa 974,229 Sawa na 80.87%, watahiniwa wenye matokeo wamefaulu na kumaliza Elimu ya Msingi 2024.

Hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa 0.29%,.

Kati ya watahiniwa hao wavulana ni 449,057 Sawa na 46% na wasichana ni 525,172 Sawa na 54%

Hivyo ufaulu wa wasichana umeshuka kwa 0.53% na ufaulu wa wavulana umeongezeka kwa 1.26%”, Dkt.Said Mohamed, Katibu Mtendaji NECTA #SIONDOTOTENA #KAZIIENDELEE

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *