Uchakataji wa pamba unaongeza thamani ya zao hilo, huongeza ajira, kipato cha wakulima na kuchochea maendeleo ya viwanda vya nguo nchini
Hivyo kuchangia ukuaji wa uchumi na kupunguza uagizaji wa bidhaa kutoka nje. #MatokeochanyA #ZiaraYaRaisSimiyu #oktobatunatiki
Soma zaidi »Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Meatu
Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Meatu kinaongeza thamani ya pamba, Kuongeza kipato cha wakulima, Kutengeneza ajira, Kuimarisha kilimo endelevu, Kupunguza umasikini na kulinda mazingira. Pia Kinaendeleza sekta ya pamba kwa kutoa mafunzo na mbegu bora.
Soma zaidi »Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amekutana na Watendaji wa Benki ya NMB, Vicky Bishubo, Meneja mahusiano Benki na Serikali waliofika kujitambulisha na kutambulisha Wizarani bidhaa mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo
SOKO LA KUBADILISHIA FEDHA LEO 30/04/2025
DHAHABU YA KIJANI INAYOINGIZA MABILIONI KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISENYI
Misenyi – kitovu cha uzalishaji wa kahawa bora aina ya Robusta inayotikisa masoko ya kimataifa! Kwenye video hii, utajionea jinsi wilaya hii ya Mkoa wa Kagera ilivyogeuza kahawa kuwa chanzo kikuu cha mapato, kuingiza zaidi ya TZS Bilioni 2 kwa mwaka kupitia ushuru wa mazao na biashara. 👩🏽💼 Sikiliza kauli …
Soma zaidi »RAIS SAMIA KAZINDUA SERA MPYA YA TAIFA YA ARDHI: MSINGI WA MAENDELEO ENDELEVU
DODOMA, 17 Machi 2025 – Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center umejaa viongozi na wageni mashuhuri, wakishuhudia tukio la kihistoria – uzinduzi rasmi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023. Hafla hii muhimu inaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa …
Soma zaidi »MIUNDOMBINU IMEIMARISHWA, SASA MAMBO SHWALI. – MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU
Kauli hii ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaakisi mafanikio makubwa katika ujenzi wa miundombinu nchini Tanzania! 🏗️🚆🚧 Kutoka barabara za kisasa, madaraja, reli ya SGR, mpaka maboresho ya bandari na usafiri wa anga – maendeleo yanaonekana kwa macho! 📌 Katika video hii, tunaangazia jinsi serikali ya awamu ya …
Soma zaidi »MANDHARI YA TANZANIA INANG’AA KATIKA “MUFASA: THE LION KING” – UBUNIFU WA DRONE ULIPIGWA NA MTANZANIA KAKA MUSSA UNALETA HADITHI TAMU YA AFRIKA:
Katika hatua ya kipekee ya kuonyesha uzuri wa mazingira ya Afrika, filamu ya kimataifa Mufasa: The Lion King imeleta mabadiliko makubwa katika jinsi hadithi ya kifalme ya simba inavyoonyeshwa. Mchanganyiko huu wa mandhari halisi na hadithi ya kusisimua unaleta uzuri wa Afrika, ukionyesha maeneo ya kipekee kutoka kwenye majangwa ya Namibia hadi …
Soma zaidi »Ushiriki wa Tanzania katika Utayarishaji wa Filamu ya Kimataifa
Mafanikio ya Mufasa: The Lion King yamepata uzito mkubwa kutokana na mchango wa wataalamu wa Tanzania. Mtayarishaji maarufu Mussa Ally Mbwego (Mussa Kaka) ameongeza umaarufu wa nchi yetu kupitia utumiaji wa teknolojia ya kisasa katika utayarishaji wa filamu. “Ni heshima kubwa kwangu kuwakilisha Tanzania katika mradi huu wa kimataifa, ambapo tunahakikisha kuwa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+