Mazungumzo hayo yalifanyika kando ya Mkutano waNishati wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika unaofanyikakatika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)
Soma zaidi »Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu (Asian Infrastructure Investment Bank – AIIB), Bw. Jin Luqun
Wamekutana na kuzungumza kando ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Afrika, ulioanza (27.01.2025), katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine, walijadiliana namna ya kuendeleza ushirikiano wa katika kuboresha miundombinu nchini, ukiwemo Mradi wa …
Soma zaidi »RAIS WA MAURITANIA AWASILI TANZANIA KWA AJILI YA MKUTANO WA NISHATI
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Mauritania, Mheshimiwa Mohamed Ould Ghazouani, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati. Alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Mheshimiwa Mohamed Ould Ghazouani, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa …
Soma zaidi »Mhe. Dkt. Doto Biteko katika mkutano wa Mawaziri wa Nishati na Fedha barani Afrika
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua Mkutano wa Mawaziri wa Nishati na Fedha barani Afrika ambao umehusisha Wadau wa Maendeleo wakiongozwa na Rais wa Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo Afrika. Mkutano huo ni sehemu ya Mkutano wa #Mission300
Soma zaidi »PICHA MBALIMBALI KATIKA MAONESHO YANAYOENDA SAMBAMBA NA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA – (MISSION 300)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina
Walikutana ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Januari, 2025
Soma zaidi »Mama katika tuzo ya mlipa kodi bora Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025
Soma zaidi »SERIKALI ya Awamu ya Sita imetenga sh. bilioni 28.1 katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 kutekeleza mapinduzi ya sekta ya mifugo nchini kwa kufanya kampeni ya chanjo kuhakikisha mifugo inakuwa na ubora unaohitajika kimataifa
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Tanzania
Soma zaidi »Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeingia makubaliano na Shirika la Ndege la Uturuki (Turkish Airlines) ili kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia safari za ndege za shirika hilo
Makubaliano hayo yalifanyika Januari 8, 2024, jijini Dar es Salaam, yakiwa na lengo la kuongeza idadi ya watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii nchini. Mkurugenzi Mkuu wa TTB, Ephraim Mafuru, amesema wamechagua shirika hilo la ndege kutokana na kuwa na ndege zaidi ya 490 na kufanya safari zake katika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+