“Tumeteseka kwa muda mrefu kutokana na uhaba wa maji, lakini sasa tuna hakika ya kupata maji safi na salama. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuletea maendeleo haya,” alisema Mariam Salum, mkazi wa Same. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameuzindua rasmi Mradi wa Maji wa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025
TUMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA TANZANIA – MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.
“Ndugu zangu kwa upande wa afya tumepiga hatua kubwa sana haswa kwenye maendeleo ya miundombinu. Nyinyi mnatambua kwamba serikali yenu imejitahidi kujenga miundombinu ya afya nchi nzima katika kila ngazi ya zahanati, hospitali za kata, hospitali za wilaya, hospitali za mikoa na hospitali za rufaa,” Rais wa Jamhuri ya Muungano …
Soma zaidi »DKT. SAMIA: TUMEPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, elimu, miundombinu, na maendeleo ya jamii chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Moja ya mafanikio makubwa ni kupungua kwa vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutoka 1500 kwa vizazi hai 100,000 hadi 104 …
Soma zaidi »HERI YA MFUNGO WA KWARESMA
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga
#ARUSHA TUMETARADADI UTAPENDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mhe. Stephen Wasira
Mazungumzo hayo yalifanyika wakati wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo tarehe 08 Machi 2025
Soma zaidi »“MKOA WA ARUSHA NI MKOA MAMA WA MIKUTANO YA KIMATAIFA” MAKONDA.
Tunamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuhakikisha Arusha inazidi kung’ara kama kitovu cha mikutano ya kimataifa. Uwekezaji mkubwa katika miundombinu na mazingira bora ya mikutano umeifanya Arusha kuwa chaguo kuu kwa matukio makubwa ya kimataifa, kukuza utalii, biashara, na diplomasia. 🔹 Tazama picha chache kutoka kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani …
Soma zaidi »TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA KWA ASILIMIA 128, RAIS SAMIA ATHIBITISHA MAFANIKIO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa nchi imefanikiwa kuondoa njaa kwa asilimia 100, huku ikijitosheleza kwa chakula kwa asilimia 128. Akizungumza kuhusu hali ya usalama wa chakula nchini, Rais Samia alibainisha kuwa mafanikio haya yanatokana na jitihada kubwa zilizofanywa na Serikali katika sekta …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+