Tanzania MpyA+

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ) akishiriki

Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao pamoja na Viongozi mbalimbali, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Machi 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya Ulinzi na Usalama Mashariki mwa Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Soma zaidi »

DARAJA LA KIGONGOโ€“BUSISI: MAPINDUZI YA MIUNDOMBINU TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ | SAFARI YA MAENDELEO

Daraja la Kigongoโ€“Busisi, maarufu kama Daraja la John Pombe Magufuli, ni mradi mkubwa wa miundombinu unaounganisha Mkoa wa Mwanza na Geita, Tanzania. Kwa urefu wa kilomita 3.2, daraja hili litakuwa daraja refu zaidi Afrika Mashariki na la sita kwa urefu barani Afrika ๐ŸŒ. Kabla ya ujenzi wa daraja hili, safari …

Soma zaidi »

M-MAMA IMEHUDUMIA WAJAWAZITO ZAIDI YA ELFU TATU KATIKA MKOA WA ARUSHA.

Tazama video hii ili kufahamu kwa undani ujumbe huu.. ๐Ÿ‘‰ Usisahau: Like ๐Ÿ‘, Comment ๐Ÿ’ฌ, na Subscribe ๐Ÿ”” ili kupata taarifa mpya kila mara! #SamiaSuluhuHassan #TumeumbwaTusaidiane #Tanzania #Mshikamano #Maendeleo #TunakwendaKusaidiana

Soma zaidi »

CHEMKA HOT SPRING: SIRI YA MAJI YANAYOCHEMKA KIMUUJIZA โ€“ SEHEMU YA 01

Chemka Hot Spring ni moja ya maajabu ya asili yanayopatikana Tanzania! ๐ŸŒฟ๐Ÿ’ฆ Je, umewahi kujiuliza kwanini maji haya yanaonekana kuchemka bila moto? Katika video hii, tunachunguza historia, siri, na uzuri wa Chemka Hot Spring, chanzo chake cha ajabu, na sababu inayoyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa watalii.

Soma zaidi »

MIUNDOMBINU IMEIMARISHWA, SASA MAMBO SHWALI. – MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU

Kauli hii ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaakisi mafanikio makubwa katika ujenzi wa miundombinu nchini Tanzania! ๐Ÿ—๏ธ๐Ÿš†๐Ÿšง Kutoka barabara za kisasa, madaraja, reli ya SGR, mpaka maboresho ya bandari na usafiri wa anga โ€“ maendeleo yanaonekana kwa macho! ๐Ÿ“Œ Katika video hii, tunaangazia jinsi serikali ya awamu ya …

Soma zaidi »

MWANAMKE MMILIKI WA KAMPUNI YA WATALII ALIVYOFAIDIKA NA ROYAL TOUR YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU

Msaada wa serikali katika kutangaza Tanzania kama kivutio bora cha utalii umeongeza kasi ya maendeleo kwa wajasiriamali kama mimi. Leo hii nina wateja wa kudumu kutoka Marekani na Ufaransa, jambo ambalo halikuwa rahisi hapo awali, #HakiKwaWote ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโš–๏ธ #SamiaLegalAid #TanzaniaYaHaki #mslac #sisinitanzania #katibanasheria #matokeochanya #ccm #nchiyangukwanza #kaziiendelee #hakikwawote #habari

Soma zaidi »

“TUMEUMBWA TUSAIDIANE, KWAHIYO TUNAKWENDA KUSAIDIANA” – MHE RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Ni maneno yenye uzito mkubwa kutoka kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, yakisisitiza mshikamano, upendo, na mshikamano wa Watanzania katika kujenga taifa imara. Katika hotuba hii, Rais Samia anahimiza umuhimu wa kusaidiana kama jamii, kushirikiana katika maendeleo, na kuwa na moyo wa upendo kwa kila mmoja. Serikali ya Awamu …

Soma zaidi »