Tanzania MpyA+

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Watoto (UNICEF) Bi. Catherine Russell

Katika mazungumzo yao, Rais Dkt. Samia ameishukuru UNICEF kwa mchango wake katika masuala mbalimbali ikiwemo afya, elimu na lishe kwa watoto pamoja na afya ya msingi. Ikulu Chamwino mkoani Dodoma

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT- DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, leo tarehe 11 Machi, 2025. Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT- DODOMA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, leo tarehe 11 Machi, 2025. Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Soma zaidi »

HATUA ZA UJENZI WA MRADI WA MAJI WA SAME-MWANGA-KOROGWE ULIOZINDULIWA NA RAIS DKT. SAMIA SULUHU

Mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni juhudi kubwa ya kuboresha upatikanaji wa maji safi kwa wakazi wa mikoa ya Kilimanjaro na Tanga. Mradi huu unahusisha ujenzi wa sehemu ya kuchuja maji inayohakikisha uchafu na chembechembe hatarishi zinaondolewa kabla ya kusambazwa kwa matumizi. Pia, kuna sehemu ya kusukuma maji kwa kutumia …

Soma zaidi »

“TUTANYOOSHANA POLEPOLE MPAKA WOTE TUTASIMAMA” MHE: RAIS DKT. SAMIA

Katika hotuba hii yenye ujumbe mzito, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anazungumzia uwajibikaji, uadilifu, na juhudi za kuhakikisha kila Mtanzania anasimama imara kwa maendeleo ya taifa! πŸš€πŸ’ͺ βœ… Uwazi na uwajibikaji katika uongozi βœ… Kusimamia haki na maendeleo kwa wote βœ… Kuimarisha nidhamu …

Soma zaidi »

“BIG BOSS, HUSHIKIKI NA KAZI NI KUANGALIA RASILIMALI ZIPO WAPI” MHE: DKT SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaweka wazi msimamo wake wa kazi na maendeleo! πŸ—οΈπŸ’Ό Katika hotuba hii yenye msisimko, anasisitiza dhamira yake ya kuhakikisha rasilimali za taifa zinatumiwa ipasavyo kwa maendeleo ya Watanzania wote. πŸŒπŸ’° Kauli hii inadhihirisha uongozi thabiti na maono ya …

Soma zaidi »

CHEMKA HOT SPRING: SIRI YA MAJI YANAYOCHEMKA KIMUUJIZA – Fuatilia Historia na Maajabu Yake!

Chemka Hot Spring ni moja ya maajabu ya asili yanayopatikana Tanzania! πŸŒΏπŸ’¦ Je, umewahi kujiuliza kwanini maji haya yanaonekana kuchemka bila moto? Katika video hii, tunachunguza historia, siri, na uzuri wa Chemka Hot Spring, chanzo chake cha ajabu, na sababu inayoyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa watalii.

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ATAKA UHARAKA WA HUDUMA ZA MAJI NA UENDELEVU WA HUDUMA BORA KWA WANANCHI.

Kilimanjaro, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Maji mkoani Kilimanjaro kuhakikisha wanaharakisha utoaji wa huduma kwa wananchi ili wasikose huduma hiyo muhimu. Aidha, Rais Samia amesisitiza kuwa mamlaka hiyo ihakikishe huduma ya maji haikatwi katika siku za sikukuu …

Soma zaidi »