Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara na malisho kwa kutumia ardhi, mbolea, maji, nguvu kazi, teknolojia na maarifa. Kilimo pia hujumuisha ufugaji wa wanyama, uvuvi, na shughuli nyingine za kuongeza thamani kama usindikaji wa mazao na uhifadhi. #mazingira #samiasuluhuhassan😍❤🇹🇿 #VPO #sisinitanzania #ikulumawasiliano #nemctanzania @nemctanzania
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA NANENANE KITAIFA JIJINI DODOMA
#LIVE: KAMATI KUU YA CCM YAFANYA MAAMUZI MAZITO – MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE YATANGAZWA
Tazama mubashara kutoka Dodoma ambapo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa inatangaza majina rasmi ya wagombea ubunge kuelekea uchaguzi mkuu. Huu ni wakati wa kusikiliza kwa makini, kufahamu mustakabali wa wawakilishi wetu, na kujua maamuzi ya chama tawala kuhusu safari ya uchaguzi. 📌 Usikose taarifa za kina, majina …
Soma zaidi »MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA JIJINI DODOMA
Dodoma, 28 Julai 2025 — Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama, Jijini Dodoma. Kikao …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha nakala za vitabu vya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 mara baada ya uzinduzi katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU WAKATI WA UZINDUZI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 – DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza hafla ya kihistoria ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 jijini Dodoma. Kupitia hotuba yake ya kina na yenye mwelekeo, Mhe. Rais ameeleza dhamira ya Serikali kuhakikisha Tanzania inafikia maendeleo jumuishi, yenye ushindani wa kiuchumi, …
Soma zaidi »Waziri wa Habari Teknolojia na Mawasiliano ya Habari Mhe, Jerry Silaa akiteta jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deo Ndejembi pembezoni mwa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025
Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri ni cha mwisho cha Serikali ya Awamu ya Sita kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025.
Soma zaidi »