🔴 LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MBUNGE JENISTA MHAGAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji wengine, katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Joakim Mhagama, iliyofanyika katika Kanisa la Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.
Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akiapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Mcheche Masaju kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Gwaride Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025.
Dodoma. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume kwa ajili ya uamuzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Kardinali Protase Rugambwa, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
KUNA JAMBO LA KUJIVUNIA TANZANIA UKIFIKA KATIKA MAONESHO YA KILIMO NANE NANE NZUGUNI DODOMA
Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara na malisho kwa kutumia ardhi, mbolea, maji, nguvu kazi, teknolojia na maarifa. Kilimo pia hujumuisha ufugaji wa wanyama, uvuvi, na shughuli nyingine za kuongeza thamani kama usindikaji wa mazao na uhifadhi. #mazingira #samiasuluhuhassan😍❤🇹🇿 #VPO #sisinitanzania #ikulumawasiliano #nemctanzania @nemctanzania
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA NANENANE KITAIFA JIJINI DODOMA
#LIVE: KAMATI KUU YA CCM YAFANYA MAAMUZI MAZITO – MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE YATANGAZWA
Tazama mubashara kutoka Dodoma ambapo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa inatangaza majina rasmi ya wagombea ubunge kuelekea uchaguzi mkuu. Huu ni wakati wa kusikiliza kwa makini, kufahamu mustakabali wa wawakilishi wetu, na kujua maamuzi ya chama tawala kuhusu safari ya uchaguzi. 📌 Usikose taarifa za kina, majina …
Soma zaidi »MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA JIJINI DODOMA
Dodoma, 28 Julai 2025 — Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika leo katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama, Jijini Dodoma. Kikao …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+