NEMC yashiriki Mkutano wa Saba wa Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira (UNEA-7) jijini Nairobi, Kenya kuanzia Desemba 08–12, 2025. Mada zinazojadiliwa ni Mazingira asilia na mabadiliko ya tabianchi, uchumi mzunguko, kemikali, taka na uchafuzi, utawala, sheria na bajeti.
MatokeoChanya
December 9, 2025
CCM, Matokeo ChanyA+, NEMC, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
552 Imeonekana