#LIVE: KAMATI KUU YA CCM YAFANYA MAAMUZI MAZITO – MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE YATANGAZWA

Tazama mubashara kutoka Dodoma ambapo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa inatangaza majina rasmi ya wagombea ubunge kuelekea uchaguzi mkuu. Huu ni wakati wa kusikiliza kwa makini, kufahamu mustakabali wa wawakilishi wetu, na kujua maamuzi ya chama tawala kuhusu safari ya uchaguzi.

📌 Usikose taarifa za kina, majina yote, na maelezo kutoka kwa viongozi wa juu wa CCM.

🔴 Endelea kuwa nasi LIVE kwa habari za uhakika na za moja kwa moja.

#CCM #Uchaguzi2025 #WagombeaUbunge #KamatiKuu #LIVEfromDodoma #ChamaChaMapinduzi #HabariMoto #BreakingNews

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *