Karibu uungane nasi mubashara leo tarehe 26 Juni, 2025, moja kwa moja kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma, kushuhudia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya. Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu …
Soma zaidi »TUJITOKEZE KWA WINGI! TUUNGANE NA RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Wana-Dodoma na Watanzania kwa ujumla, mnakaribishwa kushiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya kitakachofanyika tarehe 26 Juni 2025, kuanzia saa 1:00 asubuhi, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma. Mgeni rasmi atakuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa …
Soma zaidi »TAKWIMU ZA MWENENDO WA HUDUMA ZILIZOTOLEWA KWA WARAIBU KATIKA SEHEMU YA ITEGA KWA KIPINDI 2021-2024
Kauli mbiu: “Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya dawa za kulevya” Mwisho.
Soma zaidi »TAMASHA LA VIJANA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA LAFANA JIJINI DODOMA
Mamia ya vijana kutokamaeneo mbalimabli katika mkoa wa wa Dodoma wamekusanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma kushiriki Tamasha la Vijana lililolenga kutoa elimu kuhusu madhara ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Tamasha hili lilifanyika kwa heshima ya kuadhimisha kilele cha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi …
Soma zaidi »WANANCHI DODOMA WAMPONGEZI RAIS SAMIA, WAHIMIZA ELIMU KUPINGA DAWA ZA KULEVYA IENEZWE NCHI NZIMA
Baadhi ya wananchi waliohudhuria fainali ya mpira wa miguu iliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, jijini Dodoma, wamepongeza jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kuendelea kuwekeza …
Soma zaidi »TANZANIA YAITIKISA DUNIA KATIKA WIKI YA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA – KAMISHNA ARETAS LYIMO
Mara baada ya kufungwa kwa mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa katika kuadhimisha Wiki ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Duniani, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania, Aretas Lyimo, amesema kuwa Tanzania imeonesha dhamira ya kweli kwa vitendo katika mapambano hayo kwa kushirikisha jamii, …
Soma zaidi »RAIS SAMIA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA – JUNI 26, 2025
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Soma zaidi »Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan akikagua barabara Dodoma
Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba – Veyula – Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14,2025.
Soma zaidi »BARABARA YA DR. AKINWUMI ADESINA
Muonekano wa Barabara ya Mzunguko ya Dr. Akinwumi Adesina (Dodoma outer ring road) yenye urefu wa km (112.3) Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025.
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA (KM 112.3) NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+