DIPLOMASIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amepongeza uwepo wa kituo cha Umahiri cha Matibabu cha Afrika (AMCE) ambacho amesema kitakua mfano kwa bara la Afrika na kusaidia kuokoa gharama kupeleka wagonjwa nje ya bara hilo

Makamu wa Rais amesema hayo alipotembelea Kituo cha Umahiri cha Matibabu ya Kibingwa cha Afrika kilichopo Abuja nchini Nigeria. Amesema kituo hicho kitasaidia kuhamisha maarifa na hivyo kuwezesha wazawa kuweza kutoa huduma za afya endelevu kwa wananchi wa Afrika. Amewapongeza wataalamu ambao walihudumu katika hospitali mbalimbali nje ya Afrika kwa …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Afrexim Prof. Benedict Okey Oramah. Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim unaofanyika Abuja nchini Nigeria leo tarehe 26 Juni 2025

Soma zaidi »

🔴 LIVE: KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA.

Karibu uungane nasi mubashara leo tarehe 26 Juni, 2025, moja kwa moja kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma, kushuhudia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya. Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Jijini Abuja nchini Nigeria leo tarehe 25 Juni 2025

Makamu wa Rais anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim utaokaofanyika tarehe 25-27 Juni 2025.

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, MGENI RAMSI SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji zilizofanyika mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025. Katika tukio hili la kihistoria, Rais Samia ameonesha mshikamano wa kindugu kati …

Soma zaidi »

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA JAMHURI YA MSUMBIJI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi mbalimbali wa Afrika kushiriki katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji zilizofanyika mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025. Katika tukio hili la kihistoria, Rais Samia ameonesha mshikamano wa kindugu kati …

Soma zaidi »