DIPLOMASIA

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIMUAPISHA JAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akimuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ikulu Chamwino-Dodoma, leo tarehe 15 Juni, 2025. #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

Barabara ya Mzunguko ya Dodoma kuitwa Barabara ya Dkt. Akinwumi Adesina

Katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika utekelezaji wa miradi hiyo na katika kuchangia maendeleo ya miundombinu nchini Tanzania, Rais Dkt. Samia ameridhia pendekezo la Wizara ya Ujenzi la kuipa jina barabara hiyo ya mzunguko wa nje wa Dodoma la β€œBarabara ya Dkt. Akinwumi …

Soma zaidi »

TANZANIA NA JAPAN ZASAINI MAKUBALIANO YA BIASHARA YA KABONI

Utiaji saini umefanyika Tokyo, Japan ambapo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni na Serikali ya Japan ikiongozwa na Waziri wa Mazingira, Mhe. Asao Keiichiro(Kei)

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO MKUU CCM (SIKU YA PILI)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30 Mei, 2025. #ijuesheria #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA KIKAO CHA 33. 27 MAY 2025.

ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO: I. DUA II.HATI ZA KUWASILISHA MEZANI III.MASWALI IV.HOJA ZA SERIKALI.#ijuesheria #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »