LIVE kutoka Songea, Ruvuma, ambako Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inaendelea kutoa elimu ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa, wajumbe wa mashina, vijana, na wananchi wa kawaida. Katika tukio hili la kihistoria, wananchi wanapata maarifa kuhusu: Haki za kiraia na kijamii Mbinu mbadala za utatuzi …
Soma zaidi »VIONGOZI WATOA MAONI YAO BAADA YA SEMINA YA MSLAC
SERIKALI YAZIDI KUWAGUSA WANANCHI, KWA UZINDUZI WA MIRADI NA USAMBAZAJI ELIMU YA MSAADA WA KISHERIA
Katika safari ya kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli na haki kwa wote, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria chini ya Waziri Dkt. Damas Ndumbaro, yazindua miradi ya maji safi na salama pamoja na kusambaza elimu ya msaada wa kisheria …
Soma zaidi »SONGEA YALIPUKA KWA MAENDELEO – MIRADI MIKUBWA YAANIKA MATOKEO, WANANCHI WAANZA KUVUNA MAFANIKIO
Katika video hii, tunakupeleka moja kwa moja mkoani Ruvuma, wilaya ya Songea – ambako miradi mikubwa ya maendeleo chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, ikisimamiwa kwa karibu na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, imeleta mageuzi ya kweli katika …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt Samia atangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Hayati Mhe Cleopa David
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Hayati Mhe. Cleopa David Msuya, 1931-2025
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+