#MSLAC#Katibanasheria#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya @SuluhuSamia @matokeochanya @sisiniTanzania @KassimMajaliwa_ @dr_mpango
Soma zaidi »MatokeoChanya
TRA Yavunja Rekodi: Yakusanya Trilioni 16.528 Kwa Kipindi cha Miezi Sita Julai – Desemba 2024
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kuvunja rekodi ya makusanyo ya mapato nchini kwa kukusanya kiasi cha TZS trilioni 16.528 ndani ya kipindi cha miezi sita kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Hii ni hatua muhimu inayodhihirisha juhudi madhubuti za serikali katika kuongeza mapato ya ndani na kuboresha mifumo ya ukusanyaji …
Soma zaidi »Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Afya Jenista Mhagama mara baada ya kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu na Mwaka Mpya 2025 iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma tarehe 01 Januari 2025
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiambatana na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na Waumini mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu na Mwaka Mpya 2025 iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma
Akizungumza na waumini mara baada ya Misa hiyo, Makamu wa Rais ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali kuwatakia watanzania wote heri na baraka kwa mwaka mpya 2025. Makamu wa Rais ametoa wito kwa viongozi wa dini, …
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akisisitiza umuhimu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika kuboresha utendaji kazi wa serikali na utoaji wa huduma kwa wananchi
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Soma zaidi »Mwaka huu tumeshuhudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliokwenda kwa amani na utulivu. Kwa mara ya kwanza, wagombea wasiokuwa na wapinzani walihitajika kuthibitishwa na wananchi kwa kupigiwa kura ya “Ndio” au “Hapana.” Hatua hii imefuta rasmi utaratibu wa kupita bila kupingwa, na ni hatua muhimu katika kuimarisha demokrasia nchini
MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Soma zaidi »Tunawatakia Watanzania Wote Heri ya Mwaka Mpya 2025 Salamu za heri na mafanikio kwa Watanzania wote. Katika mwaka huu mpya, tunataka kila Mtanzania aendelee kufurahia maendeleo, amani, na mshikamano. Tukiwa na umoja, nguvu na nia ya kujenga taifa letu, tunaamini tutapata mafanikio makubwa zaidi katika sekta zote, ikiwa ni pamoja na elimu, afya, uchumi, na miundombinu
Mwaka 2025 ni fursa nyingine ya kuendelea kujenga taifa lenye neema, lenye kujivunia na lililo na ustawi kwa kila mmoja wetu. Heri ya mwaka mpya kwa Watanzania wote, kwa familia zenu na kwa jamii nzima ya Tanzania. #HeriYaMwakaMpya #MatokeoChanya+ #TanzaniaKwanza
Soma zaidi »“LEO DISEMBA 31, 2024 MWISHO MATUMIZI YA KUNI NA MKAA KWA TAASISI ZA UMMA”- MAJALIWA.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni kwenye …
Soma zaidi »Nchi yetu imeenda kusimamia utekelezaji wa Falsafa ya R4, inayohimiza Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga nchi yetu
Vile vile, tunaendeleza uhuru wa habari unaoashiriwa na idadi kubwa ya vyombo vya habari, uhuru wa kujieleza, na uhuru wa kutoa maoni kupitia vyombo mbalimbali; na hata uhuru wa kukusanyika na kujumuika. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu Mawasiliano Ikulu Mawasiliano
Soma zaidi »RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR
Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar katika kikao kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+