MatokeoChanya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar
NEMC YAONYA WANAOTUPA TAKA KIHOLELA NA KUTOA WITO KWA WANANCHI NA WADAU KUREJELEZA TAKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Januari, 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Taasisi ya Sayansi za Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ina Mchango Mkubwa katika Mipango na Sera za kuendeleza Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za Bahari
Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipoweka jiwe la Msingi Jengo la Taaluma na Utawala la taasisi hiyo Buyu ,Wilaya ya Magharibi B ,Mkoa wa Mjini Magahribi. Aidha Rais Mwinyi ameahidi Serikali kuendelea Kushirikiana na Taasisi hiyo wakati wote kwa lengo la kuhakikisha Rasilimali za Bahari ziliyopo zinatumika ipasavyo ili kutoa Mchango …
Soma zaidi »RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KISIWANI PEMBA
Rais Mstaafu Awamu ya Nne wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya Sherehe ya Uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari,Wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba, ambapo amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya …
Soma zaidi »SP DKT. EZEKIEL KYOGO ATOA SOMO LA AMANI KWA MAELFU YA WATANZANIA USIKU WA MWAKA MPYA
Mrakibu wa Polisi SP Dkt. Ezekiel Kyogo akitoa elimu kuhusu umuhimu wa amani na utulivu kwa Maelfu ya waumini wa kanisa la Arise and Shine walikusanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers vilivyopo Kawe jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia Januari 1, 2025.
Soma zaidi »Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga zaidi ya shilingi bilioni 250 katika mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya kutolea huduma za afya ya msingi katika Halmashauri zote 184 nchini
Taarifa hii imetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya, Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange, wakati akijibu swali la Mheshimiwa Dkt. Pius Chaya, Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki. Dkt. Chaya alitaka kufahamu mpango wa Serikali wa kupeleka jokofu la kuhifadhia maiti katika Kituo cha …
Soma zaidi »SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 29.5 KWA MIRADI YA UKARABATI WA BARABARA MKOANI PWANI
Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni 29.5 kwa ajili ya kugharamia miradi ya ukarabati na ujenzi wa barabara mkoani Pwani. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Baraka Mwambage, wakati wa kikao cha bodi ya barabara kilichofanyika wilayani Kibaha jana. Mhandisi Mwambage alisema …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+