MatokeoChanya
DKT. DAMAS NDUMBARO ATATUA MIGOGORO MIZITO NDANI YA VIUNGA VYA SABASABA – 2025
Katika kilele cha Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, amefanya ziara maalum kwenye Banda la Katiba na Sheria na kusikiliza moja kwa moja malalamiko na migogoro ya wananchi. Tazama jinsi Dkt. Ndumbaro alivyosimamia haki, akatoa ushauri wa kisheria papo …
Soma zaidi »DKT. NDUMBARO AKITATUA MIGOGORO KATIKA BANDA LA KATIBA NA SHERIA: SABASABA 2025
Katika maonyesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ametembelea banda la Wizara yake na kushuhudia kwa vitendo utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi. Dkt. Ndumbaro ametumia fursa hiyo kusikiliza hoja za wananchi waliowasilisha malalamiko mbalimbali, yakiwemo ya migogoro …
Soma zaidi »SUMMIT YA MAZINGIRA KUTOA ELIMU KWA WATANZANIA WENGI – KELVIN LYIMO ATOA MAELEZO
Usikose kutazama, kujifunza na kuwa sehemu ya mabadiliko chanya ya kijani. Bonyeza Subscribe, Like na Share ili ujumbe huu uwafikie Watanzania wote. #MazingiraKwanza #KelvinLyimo #CloudsMedia #EnvironmentalSummitTanzania #TanzaniaYaKijani
Soma zaidi »Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema pamoja na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Barani Afrika kutumika kuwekeza katika kuendeleza miundombinu ni vema kuhakikisha michango ya wanachama ambayo imetengwa kama kinga dhidi ya misukosuko ya kiuchumi na kijamii pamoja na kukabiliana na umaskini inabaki kuwa ya kutosha kukidhi malengo ya msingi ya uanzishwaji wake
Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akifungua Mkutano wa 14 wa Kimataifa wa Watunga Sera wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Barani Afrika unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Amesisitiza kuwepo umakini kwenye uwekezaji wa miradi ya miundombinu kwani miradi ambayo haiwezi kutekelezeka inaweza kudhoofisha …
Soma zaidi »Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ina umeme wa kutosha hatua ambayo imechangiwa na kukamilika kwa Miradi mikubwa ya uzalishaji umeme ukiwemo Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ambao pekee unazalisha Megawati 2115
Naibu Waziri Mkuu ameyasema hayo Julai 10, 2025 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya kuzalisha umeme kwa gesi asilia katika vituo vya Kinyerezi I, Kinyerezi I Extension na Kinyerezi II ambapo amesema licha ya kazi kubwa inayofanywa na TANESCO yapo baadhi ya maeneo yalikua na changamoto …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka
Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo jana wakati alipotembelea shule hiyo na kukagua miundombinu ya madarasa, mabweni,maabara na baadaye kushuhudia wanafunzi waliokuwa wakijiunga na kuzungumza na walimu wa shule hiyo. Waziri Mchengerwa amesema ameridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na walimu hao kwani katika kipindi chote shule imekuwa miongoni mwa shule zenye …
Soma zaidi »ALIYEKUWA MRAIBU WA DAWA ZA KULEVYA ATOA SHUKRANI KWA DCEA KWA KUMREJESHA KUISHI MAISHA MAPYA
Rehema Peter Mjindo, mmoja wa waathirika wa zamani wa dawa za kulevya, ameeleza kwa furaha jinsi alivyofanikiwa kuachana kabisa na matumizi ya dawa za kulevya kupitia msaada alioupata kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA). Rehema amesema kuwa kupitia huduma ya matibabu na ushauri aliopewa, alifanikiwa …
Soma zaidi »“VITA ZA SILAHA ZAPUNGUA, SASA NI VITA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIANCHI” – ENG. CYPRIAN LUHEMEJA
Katika hotuba yake ya kugusa moyo kwenye Maonyesho ya Sabasaba 2025, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Cyprian Luhemeja, ametahadharisha kuwa dunia imeingia kwenye sura mpya ya mapambano – si tena kwa kutumia silaha, bali dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi. Amesema janga hili linagusa kila …
Soma zaidi »ENG. CYPRIAN LUHEMEJA AFURAHISHWA NA HAMASA YA MAZINGIRA SABASABA 2025
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Cyprian Luhemeja, ameonesha kufurahishwa na namna taasisi mbalimbali zimeipa kipaumbele ajenda ya mazingira katika Maonyesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba. Akiwa katika ziara ya kutembelea mabanda, Eng. Luhemeja amesema kuwa karibu kila banda alilopita limeweka mbele elimu, suluhisho …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+